TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.

Lakini nawew kusema huyu ni dhaifu ni lugha ya kawaida sana kisiasa,lKini kusema mzee mwenyew an anakalibia kufa,kana kwamba yeye alijua a mzee angekufa lini uhmm ,mim sjui Mungu anajua!!
 


Vifo vyote ni kwa mapenzi ya Muumba. Nionavyo tamaa ya makubwa ndiyo imemwangusha.
 
nachoamini mm kuwa dini yangu inanikataza kumjadili mtu ambaye kashakufa kwa mabaya!!!! safar njema komba cc co bora zaidi yake...acha tujiandae na kifo
 
Kweli are we supposed to discuss kifo cha mtu!Familia yake ishasema nini kimemsababishia umauti kwa taarifa ya daktari. Sasa ya mitaani si tuyaweke kando Mzee apumzike kwa amani!
 
Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.

Wahenga wana usemi "asiyefunzwa na wazazi hufunzwa na ulimwengu" ukimkosea aliyekuzidi umri (hata kama hajakuzaaa!!) lazima ile kwako!!
 
Ni maradhi, yapi nadhani madaktari na familia yake wanajua zaidi.
Tunajifunza mengi kutokana na kifo chake. moja ni unafiki wa waliokuwa juu yake. Komba alitamka maneno ya hatari hapa mwishoni. kwamba ataingia msituni; kwamba Warioba anakaribia kufa...! Basi waliokuwa juu yake wangepaswa kuukemea huo ubaguzi. badala yake kama kawaida baada ya kufa wamemwagia sifa kibao.
Wakati wa kifo binadamu huingia katika unafiki wa ajabu. Bora Yesu alitamka "waache wafu wazikane wao kwa wao"
 
Apate laana kwani Warioba ni baba yake mzazi? Kama ni hivyo basi Mnyika ana laana ya JK kwa kumuita dhaifu.Tuacheni mambo ya kudhani kifo ni kifo.

Mnyika alikuwa sahihi, na hakuna neno baya alisema.
 

Hahahhahah jamani jf raha sn. Ila ni kweli ht mm yule asingeniweza japo mi ni she ila asingeona ndani. Ningemtoa nock out.
 
Wakati tupo wadogo kuna wimbo tulikuwa tunaimba
IDD AMINI AKIFA MIMI.SIWEZI KULIA,NITAMTUPA KAGERA KIWE CHAKULA CHA MAMBA.
DUh komba sijui.kwake.imekaeje

huyu hata mamba hawawezi kumla coz ni kinyaa kwao dawa yake ni kulitupa bush tu likakojolewe na ndege
 
Imegundulika kua makundi ya uraisi yamechangia kifo cha nahodha Komba

Taarifa zinzsema kua Komba alikua anadaiwa na baadhi ya mabenki nchini hadi kupelekea shule yake kuuzwa,hilo halikumnasua kwenye wimbi la madeni,bado akaendelea kusakamwa na wadeni wake hivyo waziri kiongozi akamkingia kifua kwa wadeni wake kwamba wampe muda atamaliza madeni yake na wasipige nyumba yake mnada.

Kweli wadeni wake wakampa muda wakitegemea kwamba akipokea kiimua mgomgo cha ubunge atamaliza deni lake lililobaki(waziri kiongozi aliwaahidi wadeni wake kwamba deni hili litalipwa kutoka kwenye kiinua mgongo cha komba).

Baada ya muda Komba akasikika akisema Tanzania hakuna mwanaume kama Lowassa na ndie atakaekua Rais wa Tanzania na alikua kaanza kumtungia nyimbo za kampeni na za kumsifia.

Waziri kiongozi alipopata hiyo taarifa akawapigia simu wadeni wa Komba waende kai pesa zao na akajitoa rasmi kumlinda komba dhidi ya mabenki yanayomdai. Mabenki yakatia maguu kwa komba kudai pesa zao,Captain akajichanga changa akalipa ikabaki kama milioni 46,akampigia Mzee wa kaskazini simu amsaidie hiyo hela ili wasiuze nyumba yake,mzee wa kasikszini akaahidi kuituma kumsaidia

Imefika siku ya wadeni kuja kuchukua pesa yao au kuuza nyumba Komba akapigia simu mzee wa kaskazini toaka asubuhi simu haipokelewi,presha ikapanda ikapelekea kifo chake.

HABARI NDIO HIYO.
 

Heeee kumbeee ndio maana wengine walikuwa wanaaga huku wanacheka mwee mwanangu kuwa uyaone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…