Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Labda tayari ni R.I.PJamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya.
Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali?
Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi?
Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake?
Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
Harudi yuleKwani uchaguzi tayari, alisema kabla ya uchaguzi kwahyo masaa bado yapo usiwe na papara
Inawezekana piaLabda tayari ni R.I.P
Ile clip iliyovuja ilisema kakimbia nchi.Labda tayari ni R.I.P
KumbeeIle clip iliyovuja ilisema kakimbia nchi.
ChaiJamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya.
Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali?
Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi?
Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake?
Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
Lini utawasha huo 'moto'?🤣...Wao wamemwaga mafuta sisi kazi yetu ni kuwasha moto.
Chichemi chana in makonde voice 🤣
Ulitaka Jeshi lisaidie magaidi yaliyokuwa yanachoma Petrol Stations na Maduka ya Watz? Utakuwa na matatizo ya akili wewe!!Tesha hana deni na sisi ila JWTZ imesaliti watanzania..imepoteza heshima yake kubwa sana.
Zamani nilikua najua vyombo vyote vya ulinzi vinaliogopa JWTZ na sehemu ambapo jeshi lipo lazima viufyate ila jambo la kusikitika mauaji haya yaliyotokea yalifanyika mbele yao wakiwa kazi yao kusaidia kubeba majeruhi🚮...wanaangalia tu wananchi ambao ndo mabosi zao ambao ndo wanawalinda wakiuwawa kinyama.