Caption this picture: Jenerali Mwamunyange!

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Posts
6,402
Reaction score
1,273
What do you think was going through his mind at this decoration:

steved-albums-this-and-that-picture592-mkuuwamajeshi-jeneralidavismwamunyange-medali-comoro.jpg

Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama ya Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange akivikwa medali ya kishujaa mnamo mwezi March katika kutambua mchango wa majeshi ya Tanzania katika kukikomboa kisiwa cha Anjouan. Picha na Michuzi Blog as commented at: http://othmanmichuzi.blogspot.com
 
"...wewe unanizuga tu, ungejua nisivyokuwa na mpango na hii kitu wala usingenivisha."
 
SteveD,
Huyu jamaa nasikia alipochaguliwa, Wanyakyusa huko kwao wakaandaa mzinga wa mnuso kumpongeza kwa kuwa Boss wa JWTZ. Nasikia jamaa akawaambia "wawahi kazini na siyo kupoteza muda na mnuso..."

Nafikiri hapa alikuwa anawaza hilohilo. "Ile kambi ya Ngerengere sijui nifanyeje ili ziwepo ndege nyingine za F16?" Ohhh, by the way, ile kambi ukiitafuta kwenye google inapatikana. Ila nasikia hapo hata ndege haziruhusiwi kupita. Hii Google imevunja miiko mingi sana. Kwa picha kama hizo, zamani unaenda JELA na hasa ukipitisha ka ndege kako. Ila sasa Google Earth wamepita na camera zao na kambi zote zimekuwa uchi. USA na Izrael ilibidi waombe zizibwe........
 
Mtanzania,

Huyu mbona kakaa kama ndugu yako? Hayo macho na sura, khaaa!!!!!!

Inawezekana mababu zenu walikuwa ni ndugu 🙂
 
SteveD,
Huyu jamaa nasikia alipochaguliwa, Wanyakyusa huko kwao wakaandaa mzinga wa mnuso kumpongeza kwa kuwa Boss wa JWTZ. Nasikia jamaa akawaambia "wawahi kazini na siyo kupoteza muda na mnuso..."

Nafikiri hapa alikuwa anawaza hilohilo. "Ile kambi ya Ngerengere sijui nifanyeje ili ziwepo ndege nyingine za F16?" Ohhh, by the way, ile kambi ukiitafuta kwenye google inapatikana. Ila nasikia hapo hata ndege haziruhusiwi kupita. Hii Google imevunja miiko mingi sana. Kwa picha kama hizo, zamani unaenda JELA na hasa ukipitisha ka ndege kako. Ila sasa Google Earth wamepita na camera zao na kambi zote zimekuwa uchi. USA na Izrael ilibidi waombe zizibwe........

Icadon hakuuweka, kesha zoom kwa kutumia google earth mpaka ndani ya hayo mahandaki, na picha keshahifadhi pahala kwenye server ku-preserve evidence... lolo. Seriously, nadhani serikali yetu inaweza kuwaomba google kuondoa, kama watapenda.
 
... Mi mjeshi bwana haya mambo ya maua mnanizingua tu.......
 
steved-albums-this-and-that-picture592-mkuuwamajeshi-jeneralidavismwamunyange-medali-comoro.jpg

"Tuliomba kumtunuku kamanda aliyeongoza majeshi, wewe ukalazimisha! Basi chana nywele or go get a haircut."
 
Last edited:
Back
Top Bottom