SteveD,
Huyu jamaa nasikia alipochaguliwa, Wanyakyusa huko kwao wakaandaa mzinga wa mnuso kumpongeza kwa kuwa Boss wa JWTZ. Nasikia jamaa akawaambia "wawahi kazini na siyo kupoteza muda na mnuso..."
Nafikiri hapa alikuwa anawaza hilohilo. "Ile kambi ya Ngerengere sijui nifanyeje ili ziwepo ndege nyingine za F16?" Ohhh, by the way, ile kambi ukiitafuta kwenye google inapatikana. Ila nasikia hapo hata ndege haziruhusiwi kupita. Hii Google imevunja miiko mingi sana. Kwa picha kama hizo, zamani unaenda JELA na hasa ukipitisha ka ndege kako. Ila sasa Google Earth wamepita na camera zao na kambi zote zimekuwa uchi. USA na Izrael ilibidi waombe zizibwe........