Car 4sale

Gerald

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
290
Reaction score
46
Haya wana JF na hiyo tena gari nauza aina Subaru Forester Year 1999, Km 105,000, 2.0cc, 4WD, Automatic, Turbocharge, good condition, small scruch and dent, kutoka Japan ilikua na KM88,000 so, almost 15000km nimetumia nikiwa nayo hapa Imesajiliwa tiari TZ, Ina mwaka tokea nimeiagiza na kuitumia. Bei ni 7.5M, let me know if ur interest please nitumie email adress yako ili nikutumie picture etc. .
 

Hizi gari nazipenda sana, zinachomoka balaa

Tatizo lake lipo kwenye spare unaweza zunguka mji mzima ukakosa site mirror tu
 
weka picha hapa vipi wewe unafanya biashara mfukoni???????weka picha hapa sote tuone
 
Weka picha mkulu. Can we negotiate the price?
 

Attachments

  • SDC11617.JPG
    348.2 KB · Views: 75
  • SDC11618.JPG
    360.9 KB · Views: 61
  • SDC11616.JPG
    299.4 KB · Views: 70
  • SDC11762.JPG
    440.3 KB · Views: 66
  • SDC11614.JPG
    416.8 KB · Views: 70
  • SDC11623.JPG
    376.6 KB · Views: 65
  • SDC11619.JPG
    367.3 KB · Views: 59
  • SDC11620.JPG
    420.8 KB · Views: 67
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…