Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafadhali Wataalamu, naombeni mnisaidie ufafanuzi
1. STFT ni (-2.3% ) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C
2. STFT ni (-6.2%) na LTFT (-14.8%) maana yake nn at 91C
3.STFT ni (-13.3%) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C
4.STFT ni (-0.8%) na LTFT (-17.2%) maana yake nn at 54C
5. Halafu mbona zinatofautiana na zote at idle
6. Absolute Throttle Position 9.4% kwa nn sio zero at Idle
7. Na kama ikiwezekana picha namba nne pia
Natanguliza shukran zangu za dhati
Kuna watu wengi sana huwa wanajidanganya kuwa wanaweza wakadandia haya mambo from nowhere na wakaanza kupiga hela.Nilichogundua ni kwamba shule ni lazima.Lazima watu watafute degree za umeme wa magari,tofauti na hapo ni kujidanganya tu!1. STFT ni (-2.3% ) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C
2. STFT ni (-6.2%) na LTFT (-14.8%) maana yake nn at 91C
3.STFT ni (-13.3%) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C
4.STFT ni (-0.8%) na LTFT (-17.2%) maana yake nn at 54C
5. Halafu mbona zinatofautiana na zote at idle
6. Absolute Throttle Position 9.4% kwa nn sio zero at Idle
7. Na kama ikiwezekana picha namba nne pia
Natanguliza shukran zangu za dhati
Kuna watu wengi sana huwa wanajidanganya kuwa wanaweza wakadandia haya mambo from nowhere na wakaanza kupiga hela.Nilichogundua ni kwamba shule ni lazima.Lazima watu watafute degree za umeme wa magari,tofauti na hapo ni kujidanganya tu!