1. STFT ni (-2.3% ) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C
2. STFT ni (-6.2%) na LTFT (-14.8%) maana yake nn at 91C
3.STFT ni (-13.3%) na LTFT (-11.7%) maana yake nn at 92C
4.STFT ni (-0.8%) na LTFT (-17.2%) maana yake nn at 54C
5. Halafu mbona zinatofautiana na zote at idle
6. Absolute Throttle Position 9.4% kwa nn sio zero at Idle
7. Na kama ikiwezekana picha namba nne pia
Natanguliza shukran zangu za dhati
Swali lako ni gumu.
Na sijajua hizo Data umezitoa wapi.
STFT ni short term fuel trim.
LTFT ni long term fuel trim.
Fuel trim ni correction au compesation ambayo control unit hufanya kwenye engine.
Yaani kila muda au control unit itaongeza au kupunguza kiasi cha mafuta kinachokuja kwenye engine.
Fuel trim inaweza kuwa positive au neagtive.
Ikiwa positive maana yake control unit inaongeza mafuta kwenye engine.
Na ikiwa negative maana yake control unit inapunguza kiasi cha mafuta kinachokuja kwenye engine.
Swali namba moja mpaka namba nne sitaweza kulijibu as huwa tunafanya diagnosis kwa fuel trim kwa different rpm.
Fuel trim inaweza kukusaidia kujua misi inayosababishwa na mfumo wa cheche, hewa au mafuta. Hili ni somo refu kiasi chake.
Throttle position haitowahi kuwa 0 iwe ni kwenye electronic throttle au ya kawaida.
Unapoifunga throttle position sensor kwenye gari kuna few degree huwa inakuwa twisted. Ila mimi nikiangalia asilimia ninaweza kukuambia kama throttle ipo close, partially open au wide open.
Kipengele cha saba sijakuelewa.