Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingia web site ya TRA utapata kila kitu yaani haitapungua hata sent aua kuzidi. ila tu excemption unatakiwa uwe ni mfanyakazi wa serikali na uwe na muda wautumishi zaidi ya miaka miwili
exemption imefutwawana JF naomba msaada kwa hili suala la car exemption kwa anayefahamu.
Ni mtumshi yupi anayestahili kupata exemption mara anunuapo au kuagiza gari.
kwa gari la 10mcif,exemption inaweza kuwa tsh ngapi?
misamaha ya kodi ya magari kwa wafanyakazi imefutwa kwenye budget ya 2012/13