CAR EXEMPTION(msaada)

moesy

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
3,555
Reaction score
3,536
wana JF naomba msaada kwa hili suala la car exemption kwa anayefahamu.
Ni mtumshi yupi anayestahili kupata exemption mara anunuapo au kuagiza gari.
kwa gari la 10mcif,exemption inaweza kuwa tsh ngapi?
 
Ingia web site ya TRA utapata kila kitu yaani haitapungua hata sent aua kuzidi. ila tu excemption unatakiwa uwe ni mfanyakazi wa serikali na uwe na muda wautumishi zaidi ya miaka miwili
 
Ingia web site ya TRA utapata kila kitu yaani haitapungua hata sent aua kuzidi. ila tu excemption unatakiwa uwe ni mfanyakazi wa serikali na uwe na muda wautumishi zaidi ya miaka miwili

ahsante sana mkuu ubarikiwe.
 
wana JF naomba msaada kwa hili suala la car exemption kwa anayefahamu.
Ni mtumshi yupi anayestahili kupata exemption mara anunuapo au kuagiza gari.
kwa gari la 10mcif,exemption inaweza kuwa tsh ngapi?
exemption imefutwa
 
misamaha ya kodi ya magari kwa wafanyakazi imefutwa kwenye budget ya 2012/13
 
misamaha ya kodi ya magari kwa wafanyakazi imefutwa kwenye budget ya 2012/13

watu huwa hawana muda wa kusikiliza habari zinazowahusu wanahangaika kutafuta unga kwa ajili ya watoto wao. Maisha bora kwa kila mdanganyika!!
 
Nikushauri mzee naona wote wanakukwepa
Exemption kwa civil servant bado ipo,na gari isiwe chini ya 2004 maana inaenda January sasa 2013, isiwe na >3000CC
make it happen
best regards
 
Niliagiza rav 4 kwa exemption lakini ushuru ukaja 5 ml...so sioni maana yake
 
civil servant hapewi exemption ya kila kitu mkuu , lakini haijafutwa bado ipo acha kusikiliza stori za vijiweni ...
 
Haijafutwa ipo ila vat 18 percent na chaji zote za bandari lazima ulipe...kama nilivyokwambia niliingiza rav 4 la mwalimu...pili mpaka fomu zako zipitishwe elimu ukiwa ni mwalimu ni process ndefu ambapo gari lawezafika kabda hujamaliza matokeo yake storge charge zinaongezeka na kuibiwa vifaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…