Car fo SALE

Jeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2008
Posts
200
Reaction score
12
Gari linauzwa Toyota Corsa ya mwaka 1998 bei ni 6.5m. Rangi ni Gold Metalic
 
Tunaomba Picha basi tulione.
Alafu imetembea KM ngapi?
 
wapi picha. Huwezi uza kwa kificho. Aaala!
 
engine cc ngapi? ni vizuri unapoweka tangazo jitahidi uweke informations zote kiasi cha kutosababisha maswali mengi pengine hata mashaka.
 
Huna haja ya kuficha ati, cha muhimu weka mambo hadharani humu jamvini pamoja na details zote za hiyo gari then watu waamue!
 
Gari linauzwa Toyota Corsa ya mwaka 1998 bei ni 6.5m. Rangi ni Gold Metalic

COOL, MIGHT BE A GOOD BUSINESS. MIMI NINA CHANNEL NA MADALALI KIBAO. Am alywas at jossey1979@yahoo.com. I hope you mean business, As you know this is the home of great thinkers! not great Jokers!!!. Kama unakumbuka nilitangaza nauza noah humu, within an hour I had my money in the pocket. hurry up do the neccessary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…