Hahaahaha!

Air Tanzania umejionyesha ulivyochukuliwa na makaburu leodamn! Why you man!!

Kama unataka tuongelee gari nzuri na sio gari ghali wewe sema tuongee mkuu!

Sisi tupo bongo na tunapiga corner na nissan hardbody za mkaburu, tunazungusha na rover za uk na tunatambaa na nissan za japan vile vile!!

Stop that shit about wa-tz hawawezi this and that, especially kuongelea swala la bei.

Unajua bei ya nissan navara ya UK na ya SA, same yr, same mealage? Na unajua tofauti zake?
Hahaahaha!
Air Tanzania umejionyesha ulivyochukuliwa na makaburu leodamn! Why you man!!
Kama unataka tuongelee gari nzuri na sio gari ghali wewe sema tuongee mkuu!
Sisi tupo bongo na tunapiga corner na nissan hardbody za mkaburu, tunazungusha na rover za uk na tunatambaa na nissan za japan vile vile!!
Stop that shit about wa-tz hawawezi this and that, especially kuongelea swala la bei.
Unajua bei ya nissan navara ya UK na ya SA, same yr, same mealage? Na unajua tofauti zake?
Nakata kujua gari za japan zinapatikana south africa
wa bongo huwa tunapendelea vitu vipya vya pili sio vya kwanza kwa kwa upande wa sauzi hatuwezi..

Zinapatikana huko Durban, Wahindi ndio wanaoziuza, wanunuaji wa kubwa ni Wageni sio wenyeji. Gari za kutoka Japan kuzisajili au kupata plate number hapa South Africa ni vigumu kwa kifupi haziruhusiwi na kusajiliwa hapa. na ukinunua lazima uwe na passport kuonyesha kuwa hiyo Gari inatoka nje ya Nchi hata kufanyia Service hairuhusiwi. Wanasema ubora wake upo chini. Ukinunua unapakia kwenye truck kwenu ukakumbane na TRA huko ndio unaweza kulipa ushuru kuliko bei uliyonunulia hilo gari
Tatizo lenu Watanzania hamuwezi kununua vitu Quality, Hakuna hata mfanyabiasha wa Kitanzania anayekuja kununua Vitu South Africa hao wote wanaojifanya wana pesa huko kwenu wakija huku wanakimbia. Mnakuja huku kununua vitu halafu mkizigeuza pesa za huku na mkilinganisha na zenu mnaona ghali. Mkuja huku mnatusumbua kuwatembeza halafu hamnunui vitu mnalia tu kazi kusema bora Dubai
Badilisha na uraia kabisa......

Mimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi

Sibadilishi mimi ni Mtanzania na nitabakia Mtanzania, Naipenda nchi yangu sitokuwa mnafiki kwa nchi yangu. Ninaouwezo wa kubadilisha Uraia lakini sitaki
hivi hii gari huko ni kiasi gani?
ni discovery 4
naskia gari kutoka SA huwezi kupata spares kokote si dubai, si UK, si japan bali ni south africa only..je ni kweli?
kwenye matumizi hakuna cha ushikaji... acha upendo wa mshumaa... wape uso wa mbuzi wachangie..!!!!Mimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi
Punguza hasira mkuu. Unalalamika sana hadi umepitilizaMimi sio Kazi yangu kuwatembeza Watu huku, ila nafanya kwa Washikaji na wala sidai ada yoyote. Ila mnakuwa wagumu kuweka Mafuta kwenye gari hilo ndio tatizo la watanzania wakija huku kibiashara wanapenda dezo utafikiri mpo kwenu. wabahili mno pesa mnazichungulia mno na nyinyi
Magari ya south hakuna ubora wala nini unazani ni wewe tu umekaa south..... mimi nilikaa huko magari yao ni beei juu sana na milage ni kamazimeenda mpaka kwenye moon na zikagonga coment kazaa na zikarudi. Sibora uende japani au uarabuni ukapate kitu na milage kidogo na bado kinanikia upya. Wewe unazania siye twapenda kununua vya japani badala ya kuchanja mbuga mpaka south. Anyway hoa wasouth wanajaribu kulinda soko lao la ndani kwavile wanaviwanda vya magari na hawawezi kushindana na wajap wapo mbali kinoma. Kama wasouth wangekuwa na quality basi magari yao yangejaa bongo kama visuper maket vyao uchwara wanavyofungua hulu bongo na kutulia hela.I dont care what car do you drive Bro, Hapa tunazungumzia ubora wa gari na bei. Gari ya UK na ya South zinaweza zikawa same price au ya South Africa kuwa bei ipo juu kuliko UK hata kama is the same year, same Toyota, Nissan Navara au gari yoyote. Gari za South zinasifika kwa Ubora na uimara ndio maana wanasoko kubwa Nje na wala hawategemei masoko ya Africa kwa uuzaji wa Magari yao. Go and google get inf bro