Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mwenye uzoefu na hizi chip zinazochomekwa kwenye OBD2 kw ajili ya kuratibu na kupunguza ulaji wa mafuta anisidie Kama kweli zinafanya kazi
Asante
Kumbe inasaidia.You should try tuning boxes japo saving ya mafuta haiwezi kuzidi 15%.
Au ukafanya Chip tunning ya ECU yako japo hapo pia fuel saving haiwezi kuzidi 30%
Kumbe inasaidia.
Maana yake badala ya kutumia mafuta ya 100,000 kwa mwezi, nitatumia 70,000 hadi 75,000
Sio mbaya.
Haina madhara hasi yoyote ?Yes japo siyo Cheap...
Tuning box nyingi above 500k
Ukifanya chip tuning bei ya tuning files tu inaogopesha... Hapo bado hela ya kazi....
Haina madhara hasi yoyote ?
Jf kisima Cha maarifa tht why I like it.Yes japo siyo Cheap...
Tuning box nyingi above 500k
Ukifanya chip tuning bei ya tuning files tu inaogopesha... Hapo bado hela ya kazi....
Hata mie naona siyo mbaya mfano gari inatumia 12lr for 100 km 30% itakuwa inatumia 8ltr for 100km. Lbd Kama hizi hesabu siyo sawaKumbe inasaidia.
Maana yake badala ya kutumia mafuta ya 100,000 kwa mwezi, nitatumia 70,000 hadi 75,000
Sio mbaya.
Jf kisima Cha maarifa tht why I like it.
Je gari zenye engine za 3s Rav 4 old model Ina ECU
JE hai wataalamu wanaoatikana nchi hii na wapi?
Asante
Option ya pili kwa maana chip turning auYes Rav 4 toleo la kwanza zina ECU....
Changamoto hiyo solution ya kwanza ambayo ni kwa kutumia Tuning box inaweza isiwe applicable kwenye hiyo gari kwa sababu ni gari ya zamani.
Solution ya pili ndio inaweza kuwa applicable...
Unaweza kucheck watu wa racing maana ndio wadau wakubwa wa haya mambo ya tuning....
Nimewahi endesha Nissan Xtrail T30... First gear pekee ilikuwa na uwezo wa kufika 100km/h
Option ya pili kwa maana chip turning au
Asante kwa ufanunuzi je hai wanaohusika na hizo issue za option ya pili unamawasiiani Yao ?
Ok AsanteSina mawaziliano yoyote ya watu wa tuning ndio maana nilishauri kwamba ucheki na watu wa racing sababu najua ndio wadau wakubwa wa hizo huduma.
Wacheki hawa jamaa ig @gpttz, aye_perfomance, shakineli utapatiwa ufumbuziOption ya pili kwa maana chip turning au
Asante kwa ufanunuzi je hai wanaohusika na hizo issue za option ya pili unamawasiiani Yao ?