Car Fuel saver

Jamani mwenye uzoefu na hizi chip zinazochomekwa kwenye OBD2 kw ajili ya kuratibu na kupunguza ulaji wa mafuta anisidie Kama kweli zinafanya kazi

Asante

You should try tuning boxes japo saving ya mafuta haiwezi kuzidi 15%.

Au ukafanya Chip tunning ya ECU yako japo hapo pia fuel saving haiwezi kuzidi 30%
 
You should try tuning boxes japo saving ya mafuta haiwezi kuzidi 15%.

Au ukafanya Chip tunning ya ECU yako japo hapo pia fuel saving haiwezi kuzidi 30%
Kumbe inasaidia.

Maana yake badala ya kutumia mafuta ya 100,000 kwa mwezi, nitatumia 70,000 hadi 75,000

Sio mbaya.
 
Haina madhara hasi yoyote ?

Haina madhara iwapo tu mtu hatoenda beyond acceptable limits....

Ukishatoka nje ya limit ni story nyingine...

Hata kampuni za magari huwa wanakuwa na watu wao official kabisa kwa ajili ya tuning...

Kuna vitu vingi ambavyo vipo limited kwenye magari.

Mfano unadhani gari za kijapani top speed yake haiwezi kuzidi 180?

No wameweka tu speed limiter ila ukiitune inaaenda beyond hapo.

Pia mshale wa rpm kuishia kwenye 6 nayo huwa wameweka rev limiter.
 
Yes japo siyo Cheap...

Tuning box nyingi above 500k

Ukifanya chip tuning bei ya tuning files tu inaogopesha... Hapo bado hela ya kazi....
Jf kisima Cha maarifa tht why I like it.

Je gari zenye engine za 3s Rav 4 old model Ina ECU

JE hai wataalamu wanaoatikana nchi hii na wapi?

Asante
 
Kumbe inasaidia.

Maana yake badala ya kutumia mafuta ya 100,000 kwa mwezi, nitatumia 70,000 hadi 75,000

Sio mbaya.
Hata mie naona siyo mbaya mfano gari inatumia 12lr for 100 km 30% itakuwa inatumia 8ltr for 100km. Lbd Kama hizi hesabu siyo sawa

Pia labda Kama Kuna madhara makubwa kwenye gari inapotumika
 
Jf kisima Cha maarifa tht why I like it.

Je gari zenye engine za 3s Rav 4 old model Ina ECU

JE hai wataalamu wanaoatikana nchi hii na wapi?

Asante

Yes Rav 4 toleo la kwanza zina ECU....

Changamoto hiyo solution ya kwanza ambayo ni kwa kutumia Tuning box inaweza isiwe applicable kwenye hiyo gari kwa sababu ni gari ya zamani.

Solution ya pili ndio inaweza kuwa applicable...

Unaweza kucheck watu wa racing maana ndio wadau wakubwa wa haya mambo ya tuning....

Nimewahi endesha Nissan Xtrail T30... First gear pekee ilikuwa na uwezo wa kufika 100km/h
 
Option ya pili kwa maana chip turning au

Asante kwa ufanunuzi je hai wanaohusika na hizo issue za option ya pili unamawasiiani Yao ?
 
Option ya pili kwa maana chip turning au

Asante kwa ufanunuzi je hai wanaohusika na hizo issue za option ya pili unamawasiiani Yao ?

Sina mawaziliano yoyote ya watu wa tuning ndio maana nilishauri kwamba ucheki na watu wa racing sababu najua ndio wadau wakubwa wa hizo huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…