J john mwingira New Member Joined Oct 19, 2013 Posts 2 Reaction score 1 Jul 10, 2017 #1 Habari wanajamvi nahitaji music kwa ajiri ya gari na gari ni subaru legecy b4 bajet yangu ni 1million Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Habari wanajamvi nahitaji music kwa ajiri ya gari na gari ni subaru legecy b4 bajet yangu ni 1million Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Osaba JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,937 Reaction score 781 Jul 10, 2017 #2 Kama uko Dar nenda mlimani city kuna punguzo la vifaa vya muziki wa gari na utapata original Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
Kama uko Dar nenda mlimani city kuna punguzo la vifaa vya muziki wa gari na utapata original Sent from my Iphone 6 Plus using JamiiForums mobile app
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,896 Jul 10, 2017 #3 Nenda hapo magomeni mwembechai kuna vijana watakupangia mziki wako vizuri kwa bei hiyo. Unaweza pata mziki.tuner nk na kukufungia. Dick sound Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Nenda hapo magomeni mwembechai kuna vijana watakupangia mziki wako vizuri kwa bei hiyo. Unaweza pata mziki.tuner nk na kukufungia. Dick sound Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
MAGARI7 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2016 Posts 2,401 Reaction score 1,303 Jul 15, 2017 #4 john mwingira said: Habari wanajamvi nahitaji music kwa ajiri ya gari na gari ni subaru legecy b4 bajet yangu ni 1million Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app Click to expand... Hello habari, Upo Dar es salaam.?!
john mwingira said: Habari wanajamvi nahitaji music kwa ajiri ya gari na gari ni subaru legecy b4 bajet yangu ni 1million Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app Click to expand... Hello habari, Upo Dar es salaam.?!
KUCH KUCH JF-Expert Member Joined Dec 18, 2015 Posts 1,327 Reaction score 966 Apr 25, 2018 #5 Mambo ya music