Naomba mnisaidie jina la kampuni inayokodisha magari kwa Dar Es Salaam na gharama zake kwa siku,wiki au kwa mwezi.Nina wageni wameniomba niwasaidie kutafuta infos
Asanteni
Asanteni Lara 1 na Donald nimeku pm,nitakupigia.Wako wanne,wanahitaji gari ndogo sedan au suv,itawatosha.Ukiacha green car kuna kampuni nyingine?Nataka kulinganisha gharama