PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Shukran Sana mkuuWenyewe OEM wanataka Subaru Supercoolant, rangi ya blue. Tatizo kuipata maana ndio inayowekwa kwenye gari na Subaru wanasa inakaa hadi miaka 11 au km 200,000.
View attachment 3485066
Ukikosa wanasema tumia nyingine za blue zenye formula sawa (phosphate organic acid technology (P-OAT)) na hazina silicate, ila usitumie ya KIJANI coz ina silicane na inaharibu gaskets.
Pambana na page 400 za usermanual hizi hapa 😂😂
Rangi yake ni nyekunduIliopo rangi gani kaka. Wbu ikipoa icheki.
Maneno ya Chemisty Form 3....Mfano oil ina isha haraka ni kama ina vuja lakini ukiagalia hakuna sehemu inayo vujisha shida nini?
Hapo piston/piston ring zimeisha kwa hiyo oil inachanganyika na mafuta na kutoka kwa njia ya exost, yaani moshi mweusi.Mfano oil ina isha haraka ni kama ina vuja lakini ukiagalia hakuna sehemu inayo vujisha shida nini?
Nimewaelewa ngoja itoke gereji nione kama bado ina endeleaHapo piston/piston ring zimeisha kwa hiyo oil inachanganyika na mafuta na kutoka kwa njia ya exost, yaani moshi mweusi.
Jaribu kuingiza kidole kwenye exost iwapo kitatoka cheusi basi ujue ndio huko oil inatokea.
Ohhh sawaManeno ya Chemisty Form 3....
Viscosity........
Angalia manual gari yako inatakiwa itumie grade ipi.....
Ukiweka tu yoyote, si muda mrefu kiringi timtim, Taa ya oil inawaka....
View attachment 3485103
Kumbuka gari ukifanya service ya piston/piston ring huwa inatoa moshi kwa muda na baadaye kuacha kabisa. Kwa hiyo, usije ukashangaa.Nimewaelewa ngoja itoke gereji nione kama bado ina endelea