Car Wash gari langu chafu sana!

Car Wash gari langu chafu sana!

salari

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,045
Reaction score
5,397
Habari wakuu,

gari langu limeingia grease na oil kwenye seat, na sehemu nyingi za ndani naomba kwa anayejua car wash ambayo wanasafisha ndani vizur aniambie!

Salar
 
Car wash kiukwel inategemea na eneo unaloishi maana zipo nyingi sidhan kama unaweza toka gongo la mboto ukaenda tegeta kuosha gari
 
Back
Top Bottom