Car wash inauzwa Geita.

Car wash inauzwa Geita.

Mzaleee

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,069
Reaction score
3,899
Wakuu kwema.

Kwa niaba ya kaka yangu ambaye ni mmiliki wa car wash maeneo ya miti mirefu karibu na kabisa katoloki Geita napenda kuwatanganzia kuwa,car wash inauzwa kiasi cha million 5.

Vitu vinauzwa ni pumpu,motor,car bulb washer,eneo pia Lina meter yake ya umeme na maji.

Kuhusu umiliki wa eneo kupanga Kwa kiasi cha elf 50 Kwa mwezi na mwenye eneo ni ukoo ambao hawana mradi wowote Kwa kuifanyia Kwa sasa na Hadi sasa Bado Kuna mkataba wa miezi 10,kwahy miezi ikiisha unaongeza tena mkataba.

Kupato cha biashara hii Kwa wastani ni 40000 kila siku japo siku za weekend huwa mapato yanaongezeka Hadi 50000 to 60000.
IMG-20240627-WA0003.jpg
IMG-20240627-WA0002.jpg
IMG-20240627-WA0001.jpg
 
Sasa 40k kwa siku mpka 60k halafu unauza,
Ukipiga hesabu 40k×30 kwa mwezi jibu kinakuja milion 1 na laki 2 ukizidisha kwa mwaka 1200000×12 jibu linakuja m14 haya ukitoa undesha ubakiwe na M10 faida kubwa
 
Ni kweli,huyu kaka ameingia tamaa ya pesa za haraka kwenda kuchimbisha dhahabu.
 
Back
Top Bottom