Ni kweli,huyu kaka ameingia tamaa ya pesa za haraka kwenda kuchimbisha dhahabu.Sasa 40k kwa siku mpka 60k halafu unauza,
Ukipiga hesabu 40k×30 kwa mwezi jibu kinakuja milion 1 na laki 2 ukizidisha kwa mwaka 1200000×12 jibu linakuja m14 haya ukitoa undesha ubakiwe na M10 faida kubwa
kweli wanafua,Hapana huwa wanafua.
Hahahahaa dunia ina watu hiiHapana huwa wanafua.