Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za kustua kusema kweli ,mtu mwenye sehemu au anamjua mtu mwenye sehemu asisite kuwasiliana na mimi contact ni ..0754759219,0713058290 asanteeni...La kumalizia tunatoa pia huduma za Mobile car wash,carpet clean,driveway clean all areas karibu na kijitonyama,tupigie mda wowote tuko tayari kwa kutoa huduma nzuri na bei nafuu,tunakufuata popote ulipo,asante,mungu awabariki kwa shughuli za kila siku.​

Kaka mi nipo Dare salaam...eneo inategemea maana nipate nafasi ya kutosha kidogo ya kuweza kunyenga ofisi ndogo ya reception na sehemu ya kuosha na kubadilisha matairi ambayo yanaweza kuingia magari manne kwa mkupo vipimo sina kwa kweli..na eneo lolote ambalo lina ubize wa magari.nadhani umenielewa mkuu kama una sehemu usisite kunipigia please au naomba namba yako,asanteBei ambayo si ya "kustua" kwako wewe ni shillingi ngapi, uko mkoa gani na unataka eneo la ukubwa gani mitaa gani?