Car wash service

Car wash service

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
Wakuu habari zenu na poleni na miangaiko,Happy new year,wadau natafuta sehemu ya kukodisha kwa ajili ya Car wash na tyre fitting,naangaika mwezi wa pili sasa,na pia kuna sehemu zingine rent ni za kustua kusema kweli ,mtu mwenye sehemu au anamjua mtu mwenye sehemu asisite kuwasiliana na mimi contact ni ..0754759219,0713058290 asanteeni...La kumalizia tunatoa pia huduma za Mobile car wash,carpet clean,driveway clean all areas karibu na kijitonyama,tupigie mda wowote tuko tayari kwa kutoa huduma nzuri na bei nafuu,tunakufuata popote ulipo,asante,mungu awabariki kwa shughuli za kila siku.
 

Attachments

  • WP_20131104_003[1].jpg
    WP_20131104_003[1].jpg
    320 KB · Views: 110
Back
Top Bottom