Nenda kajaribu kuomba pale Kituo cha kujaza mafuta cha ENGINE opposite na Ubungo Plaza hakuna car wash. Hata pale kwenye parking za Ubungo plaza, unaweza kuongea na uongozi wa pale wakakuruhusu kujibanza mle.
asante kwa ushauri but nilienda pale plaza wamenikatalia na engine nimekuta kuna car wash tayari,please una idea ingine ya eneo litakalonifaa?