Upscale Tanzania
Member
- May 8, 2018
- 75
- 34
kufunga inagharaimu tsh 10,000/-Hadi kufunga inagharimu bei gani?
Okay sawa Mkuu. Nitakutembea. Swali moja la mwisho. Hakuna gharama zingine kama kununua wire n.kkufunga inagharaimu tsh 10,000/-
Karibu sana
Karibu mkuu, inategemea na fundi utayemtumia. unaweza ukamchngia kidogo kwenye wire au akakufungia kwa 10,000/- na waya kwake.Okay sawa Mkuu. Nitakutembea. Swali moja la mwisho. Hakuna gharama zingine kama kununua wire n.k
Hivi kwa sasa hivi kuna ulazima wa kufunga CD Interchanger?Karibu mkuu, inategemea na fundi utayemtumia. unaweza ukamchngia kidogo kwenye wire au akakufungia kwa 10,000/- na waya kwake.
Hii speaker inakuja na full kila kitu? Namaanisha system ya kutone bass nk? Kama nna redio sihtaji kununua kingne?
Nitakuja soonTunapatikana Kariakoo, Dar es salaam.
jumla na rejareja piga 0688184986 / 0718032837
Thank you for the feedback, I real Appreciate your feedback. Tunaomba utuletee na wateja wengine mkuu.Wape namba ya simu 0718032837, 0688184986 na itakua vizuri wakisema tangazo wameliona jamiiforums. Asante sana.Niwashukuru kwa huduma, nilifika ofisi yenu nikahudumiwa vizur, kwa sasa napata mziki mzuri kwenye gar
karibu mkuu, Tunapatikana kariakoo, tunatazamna na kituo cha mwendokasi cha gerezani, tupigie 0718032837 , 0688184986Wanakuja
Sasa mkuu mimi hiyo miziki ya nini mkuu sina hata gari au utanifunga kwenye miguu?karibu mkuu, Tunapatikana kariakoo, tunatazamna na kituo cha mwendokasi cha gerezani, tupigie 0718032837 , 0688184986
usijali kuhusu maswali uliza tu mkuu tutakujibu hapa pia unaweza kutupigia simu namba 0718032837 , 0688184986Samahani kama nauliza maswali mengi sana ila sitaki kurudia kosa. Nilifunga mziki kwenye Bajaji yangu na the cost was 150,000+ kwa Amir sound Magomeni. So upande wako naona ni cheap ndio maana nataka nijiridhishe
Sawa Mkuu. Nitakupigia siku sio nyingiusijali kuhusu maswali uliza tu mkuu tutakujibu hapa pia unaweza kutupigia simu namba 0718032837 , 0688184986