Hizo sio mabwanga mkuu Ni za kubana na utaletewa ulichoagiza sio mbuzi kwenye gunia.Weka picha ya kule chini miguuni tuone size ipoje
Jumla kuanzia nanee?wakati wenzako jumla wanaanzia tatu,harafu bei ya jumla kubwa hivyo! Mi sizitaki,samahani lakini.
Hadi za Elfu 10 zipo Mkuu K/KOO.Tunanunua 20k. Punguza bei.