MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,057 Reaction score 39,387 Jul 21, 2018 #1 Hii nyimbo mpya ya gigi inayoitwa Kiki ni gigi gigi kanikomesha ukchukia unajipa tabu angalia video utaona Cardi b hamuwezi Gigi nimeamka kukera watu leo
Hii nyimbo mpya ya gigi inayoitwa Kiki ni gigi gigi kanikomesha ukchukia unajipa tabu angalia video utaona Cardi b hamuwezi Gigi nimeamka kukera watu leo
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jul 21, 2018 #2 rudi kulala labda utaamka kuwafurahisha watu