Wana JF,tunaomba msaada kama kuna mtu ana experience na care homes(kwa ajili ya wazee) tunahitaji ushauri,mwanzoni kwa bure lakini baadae huenda tukamlipa. Tafadhali ni PM au andika kwa rakeyescarl@yahoo.ie.
"every one ,one day will be old enough to be cared"
"every one ,one day will be old enough to be cared"