Care Instruction: Alama za Kwenye Nguo!

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Care Instruction: Symbols & Content Care Labels
Watu wengi huwa tunafanya makosa kwenye kuzitunza nguo zetu na haswa inapofikia kwenye kuzisafisha kwa machine... Ni watu wachache sana wenye kufuwata maelekezo ya ufuwaji wa nguo na upigaji wa pasi.

Basi nimeonelea leo niweke hii, labda kwa njia moja au nyingine inaweza kuwasaidia wale wasio fahamu maana ya alama za kwenye nguo.

Alama za kwenye nguo



Alama za wakati wa kufua.



Joto la kwenye machine kwa ajili ya




ukaushaji




Maelekezo halijoto


Nguo Maalum


Upigaji wa pasi kavu na kutumia unyevunyevu




Aina ya Usafishaji wa nguo



 

Attachments

  • 1_Symbol.jpg
    20.3 KB · Views: 107
Jukwaa la Elimu naona limeanza kushamiri, am loving this!!
 
Jukwaa la Elimu naona limeanza kushamiri, am loving this!!
Ndio hivyo mkuu, kidogo kidogo, tunabadilishana kile tukijuwacho, nasi twajifunza kwa wajuao...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…