Care international

Care international

Mau

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Posts
176
Reaction score
10
Jamani wana JF kuna nafasi zilitangazwa na Care international, deadline ilikuwa tarehe 14 apr mwenye kujua mchakato umefikia wapi atufahamishe
 
kaka bado hawajaita....mimi mwenyewe niliomba.....bado hawajaita watu kwenye interview....vuta subira mkuu...nina uhakika na ninachokisema
 
Back
Top Bottom