Mau Senior Member Joined Apr 8, 2009 Posts 176 Reaction score 10 Apr 30, 2012 #1 Bandugu kuna nafasi zilitangazwa hivi majuzi na Care international deadline ilikuwa 14 April vipi washaita? Manake kuna sred moja humu nimeona jamaa akiuliza mshahara wanaolipa Care kwa graduate. Naombeni mnijuze
Bandugu kuna nafasi zilitangazwa hivi majuzi na Care international deadline ilikuwa 14 April vipi washaita? Manake kuna sred moja humu nimeona jamaa akiuliza mshahara wanaolipa Care kwa graduate. Naombeni mnijuze
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,656 Apr 30, 2012 #2 Nakushauri ungem'pm huyo aliyeanzisha hiyo thread pengine anaweza akakupa info.
Munru JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 1,340 Reaction score 666 Apr 30, 2012 #3 kwani hukuweka contact zako ??? kama watakautaji watakutafuta , ukianza kufuatilia utakufa kwa presha siku ukisikia watu walishaanza kazi kitambo
kwani hukuweka contact zako ??? kama watakautaji watakutafuta , ukianza kufuatilia utakufa kwa presha siku ukisikia watu walishaanza kazi kitambo