CARE washaita watu interview

CARE washaita watu interview

E52

Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
81
Reaction score
14
vp wadau kuna zile kazi zilitoka care, deadline ilikuwa april 14 vp washawaita watu interview au bado...duty station ilikuwa tabora
 
mkuu juzi jumatatu nilimtuma bwana mdogo akachek nao pale kunako ofisi zao taarifa alizopata ni kwamba interview ilishafanyika siku nyingi na vijana wamepigiwa simu tayari. Me nipo huku Tabora naona magari ya Care kama matatu hivi ambayo hayakuwa hapa mjini nadhani ndo yameingia kwa ajili ya shughuli
 
Back
Top Bottom