mkuu juzi jumatatu nilimtuma bwana mdogo akachek nao pale kunako ofisi zao taarifa alizopata ni kwamba interview ilishafanyika siku nyingi na vijana wamepigiwa simu tayari. Me nipo huku Tabora naona magari ya Care kama matatu hivi ambayo hayakuwa hapa mjini nadhani ndo yameingia kwa ajili ya shughuli