suez canal
New Member
- Feb 15, 2014
- 2
- 0
Wadau nimevutiwa na hizi gari mbili kwa uwezo wangu siwezi kuchukua zote. Naombeni usharuni nivute ipi kati ya hizo. Ipi inamudu masafa marefu, running cost? Nisaidien wadau
Nakushauri Nunua tu Gari La FIAT na Hutaenda Gereji Wala Kupata Matatizo Ndani Ya Miaka 50 Ijayo na Haili Mafuta. Kifupi Fiat ni Cost Effective Mno.
hizi ndo tunaziita akili za DIV 5.. watoto wa mulugo umeulizwa swali jepesi tu we umekimbilia kuchora ZOMBI