Carina Ti Vs Toyota Premio

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Wakuu nimejaribu kufatilia mijadala mingi jukwaa hili kabla sijafanya maamuzi ya kununua gari, kwa bajeti yangu isiyozidi mil 13 nimetokea kuvutiwa na hizi gari 2, ipi ni chaguo zuri zaidi kwa ujumla, kwa kuzingatia muonekano, ulaji wa mafuta, ubora, 'comfortability' ukiwa ndani, n.k?
 
Pia naomba mniambie kama kuna better option kwa bei hiyo, matumizi ya gari ni kwa ajili ya kuendea kazini, na misele ya mjini
 
Carina T1 is the best option, fuel consumption is low compared to that dude..... It is very stable when you drive at the speed greater than 100km/hr
 
Carina T1 is the best option, fuel consumption is low compared to that dude..... It is very stable when you drive at the speed greater than 100km/hr
Nashukuru kwa mchango wako mkuu
 
Premio ni habari nyingine, hasa NZT or NZE...VVTi engine...noma sana
 
Zote ni gari nzuri, ila naungana na mdau hapo juu kama unahitaji gari imara ambayo hutojutia kamata kitu TI
 
Kwa muenekano hapo ni premio kwa ulaji mafuta ni TI sasa utachagua ipi?
 
Kwa muenekano hapo ni premio kwa ulaji mafuta ni TI sasa utachagua ipi?
Kwa ujumla wake ukizingatia sifa zote hapo juu nilizotaja kama ni wewe ungeopt gari ipi?
 
Carina TI, average price ni shillingi kwa sasa, showroom
 
Premio is the best kwa muenekano na hata fuel consumption. Mkuu ukiweka mafuta ya Tshs 60,000 unaenda dar-moro na kurudi. kwa misele ya kazini na mizunguko mingine hapa mjini just wese la 40,000 kwa wiki, labda uwe unaishi kibamba
 
Chukua IST tu kama shida mafuta
 
Nawashukuru, inaonekana Carina inakubalika sana, ntaicheki hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…