Carl Peters

Carl Peters

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Carl Peters (27 Septemba 1856 - 10 Septemba 1918), alikuwa mtawala wa kikoloni wa Ujerumani, mvumbuzi, mwanasiasa na mwandishi na muasisi mkuu wa koloni la Ujerumani la Afrika Mashariki (sehemu ya jamhuri ya sasa ya Tanzania).

Huyu jamaa aliamini falsafa za Darwinism na falsafa ya Völkisch, mtazamo wake kwa wenyeji ulimfanya kuwa mmoja wa wakoloni wenye utata sana wakati wa uhai wake.

Peters anafahamika sana miongoni mwa watu wa Afrika Mashariki kwa sababu walimsoma kwenye historia kwenye madarasa ya awali ya Historia hasa katika elimu ya Msingi.

Itaendelea...

PICHA: Painting kutoka Chippewa


Sent using Jamii Forums mobile app
517ae294ed166.preview-699 (1).jpg
 
Ameipata picha kaona bora atengeneze story muhuni huyu hawezi endelea na hio story
 
Back
Top Bottom