Hapo patamu babaa! Kama nahisi mtanange wa kukata na axe! Bt shetani ana zali sana wanaweza wakakwapua ndoo very soon! Sory 4 chelsea my team na arsenal my neighbour.. Tuko pamoja ktk kipindi hiki kigumu home boy, ntajitahdi nilete ndoo tushangilie wote London.