Manure hata wakishinda wamebebwa kwa sababu jamaa aliyesababisha penalty alikuwa apewe kadi nyekundu. - Stupid referee.
Mkuu unajuwa mpira vizuri lakini??ina maana kila mtu akiangushwa ndani ya box basi ni RED CARD au??Labda naomba angalia mchezo wa jana wa chelsea na man city angalia yule mchezaji wa chelsea belletti alivyomfanyia yule mchezaji wa city na kupewa red card then angalia mechi ya leo vidic jinsi alivyocheza na man united kupigiwa penati kuna utofauti mkubwa sana yaani,sasa ukisema hivyo mbele ya watu kwamba man u wamebebwa na vidic alistahili red card nadhani wengine watakuchukulia vingine mkuu,Kwa makini angalia vidic alivyocheza na huyo belleti alivyocheza kama ni sawa then njoo tuambie mkuu!!

kuna wengine huku washabiki maharage tu ila kama wanasikiliza vyema kutoka kwa wachambuzi wa michezo wangekuwa kimya. VIVA MAN UTD..moja kibindoni hilo!
Laws of the game 2009/2010
LAW 12 – FOULS AND MISCONDUCT
Fouls and misconduct are penalised as follows:
Direct Free Kick
A direct free kick is awarded to the opposing team if a player commits any of the following seven offences in a manner considered by the referee to be careless, reckless or using excessive force:
• kicks or attempts to kick an opponent
• trips or attempts to trip an opponent
• jumps at an opponent
• charges an opponent
• strikes or attempts to strike an opponent
• pushes an opponent
• tackles an opponent
A direct free kick is also awarded to the opposing team if a player commits any of the following three offences:
• holds an opponent
• spits at an opponent
• handles the ball deliberately (except for the goalkeeper within his own penalty area)
A direct free kick is taken from the place where the offence occurred (see Law 13 – Position of Free Kick).
Penalty Kick
A penalty kick is awarded if any of the above ten offences is committed by a player inside his own penalty area, irrespective of the position of the ball, provided it is in play.
Sending-off Offences
A player, substitute or substituted player is sent off if he commits any of the following seven offences:
• serious foul play
• violent conduct
• spitting at an opponent or any other person
• denying the opposing team a goal or an obvious goal-scoring opportunity by deliberately handling the ball (this does not apply to a goalkeeper within his own penalty area)
• denying an obvious goal-scoring opportunity to an opponent moving towards the player's goal by an offence punishable by a free kick or a penalty kick
• using offensive, insulting or abusive language and/or gestures
• receiving a second caution in the same match
A player, substitute or substituted player who has been sent off must leave the vicinity of the field of play and the technical area.
Mpira una sheria na hauhitaji rocket science unaweza kuzipata sheria zote za kabumbu kutoka kwenye website ya FIFA.
We unajifanya unajua sana sheria,Tayari tumeshaanza kuyakusanya.Huko kwenye hamjapata kombe hata la mbuzi miaka karibu 5Wakuu angalieni sheria namba 12 na 13 mjiridhishe wenyewe:
Mpira una sheria na hauhitaji rocket science unaweza kuzipata sheria zote za kabumbu kutoka kwenye website ya FIFA.
sawa sio rocket science, lakini ndio kusema mnakubali 100% kwa moyo na ubongo kuwa, bila man united kuwa na wachezaji pungufu basi Villa hawawezi kufanya chochote! hiyo ni kali, nashangaa hata kocha wa villa analialia - kama villa ni wakali, walikuwa mbele goli moja, na wachezaji wako 11 kwa 11 basi wangecheza vizuri ili washinde, wao ni kulialia tu man united wapungue ndio wapate ushindi!!!!!!!!!!

We unajifanya unajua sana sheria,Tayari tumeshaanza kuyakusanya.Huko kwenye hamjapata kombe hata la mbuzi miaka karibu 5
Mnaojua sheria mkashike FILIMBI mje mchezeshe then!.....
BTW; Mkishamaliza lalama karibuni Carrington Park kwa tafrija ya 'kombe mbuzi' letu.
Phil Dowd shoto ndiye aliowabeba Manure. anaandamwa na O'Neill.
Umebeba mabox mangapi leo?