Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

Kumbe wewe AC Milan, cc PNC 1.

Hahahaha,Mkuu Aleyn naona unamuita mpambe wako aje. Yeyote aneujua na kuupenda Mpira lazima aipende na kuifahamu Milan pamoja na Watakatifu wake wote kama wakina George Weah,Maldin,Seedof,Dida,Leonardo,Kaka,Nesta wakiwa chini ya Nabii wao Kiongozi na Mtume wa Mwisho kwenye Soka Roooonaldihno,hiyo unatamaka ki-Ndoroooobo Ndorooooobo.
 
Last edited by a moderator:
Acha masihara wewe, watu wanazama na mafuriko bado unawafananisha na timu tajiri duniani. Real Madrid ikifanana na Yanga wahi kanisani, ujue Yesu ndio anarudi.

Kwa kuwa maneno hayalipiwi Kodi ndio unaropoka utakavyo sio,timu gani hapa Tanzania utaifananisha na Timu ya Wananchi kimafanikio na uwezo,au wale mambumbumbu ambao wanacheza ligi na ndondo timu nzima ili kupata pesa ya kujikimu pamoja na nauli?
 
Ahahahahahahahahaha yaani huwezi amini nimecheka sana baada ya kujua wewe ni AC Milan, hahahahahahahahahahahahahaha aya bhana Mkuu!!!!
 
Real hawanaga longolongo wanataka makombe tuuu....Mourinho angalau alipata kakombe lkn bado wakasema hawamtaki

Madrid siku zote hupambana ku-maintain image ya klabu kwa sababu za kibiashara ndio maana huwa hawako tayari kuharibu kwa maana ya kutokuchukua kikombe kwa muda mrefu hivyo huwa hawasubiri meneja afanye vibaya kwa misimu mfululizo.
 
Acha masihara wewe, watu wanazama na mafuriko bado unawafananisha na timu tajiri duniani. Real Madrid ikifanana na Yanga wahi kanisani, ujue Yesu ndio anarudi.

Hata mim nlimshangaa sana!!! Yan yebu yebu na real hehehee duuuh!!
 
Madrid siku zote hupambana ku-maintain image ya klabu kwa sababu za kibiashara ndio maana huwa hawako tayari kuharibu kwa maana ya kutokuchukua kikombe kwa muda mrefu hivyo huwa hawasubiri meneja afanye vibaya kwa misimu mfululizo.
Acha hizi mambo mzee, Image ya Madrid kamwe sio kibiashara. Club ina traditions zake, ambazo ni kuwa on top always na kuwa on top kwa style.

1997/98 Madrid walishinda Champions League baada ya kuikosa since 1966, na bado wakamtimua Jupp Heynckes, mainly coz tulimaliza 4th kwenye liga.

2006/07 Madrid wameshinda La Liga baada ya kuisaka for 4 seasons, na bado Capello akatimuliwa.

Hizi habari nyingine kama hazina uhakika ziacheni tu, mnagusa hisia za watu.
 
Mkuu wakishakuwa "on top then what for? Mkuu unafikiri Perez hafurahii pale anapoambiwa klabu anayoiongoza ndiyo klabu tajiri kabisa dunia?? Na hayo yote ya be reflected na performance ya klabu ndani ya uwanja. Hayo mambo ya utamaduni na staili ni ya Barca ndiyo maana Barca huwa wanapendelea kocha aliyekulia kwenye utamaduni wao kama Rjikard, Pep, Henrik, etc
 
Get on top and staying there. Kuwa club tajiri or whatever that is not Real Madrid's main concern, never has been. Tradition ya club ni always kuwa ni best and biggest club, kuwa na best players, and win everything there is outthere. Kuwa club tajiri comes with and after all that success.

With or without the trophies bado Madrid ndio club inayotengeneza mkwanja mkubwa. So usipotoshe kwamba Carlo Ancelotti kafukuzwa kwa sababu za kibiashara, haijawahi kuwa hivyo kamwe. Real Madrid ni club ya wanachama.
 
Madrid siku zote hupambana ku-maintain image ya klabu kwa sababu za kibiashara ndio maana huwa hawako tayari kuharibu kwa maana ya kutokuchukua kikombe kwa muda mrefu hivyo huwa hawasubiri meneja afanye vibaya kwa misimu mfululizo.

Sasa nimeaini kuwa hii klabu inaitwa TENDA WEMA NENDA ZAKO. Nilidhani wangempa angalau target ya msimu mmoja. Kuwin Uefa sio kitu kidogo
 
Ni apumzike huyu jamaa kwani kaharibu Real kukosa ubingwa.
 
Mourinhho aliambiwa hivi "this club is too huge for you " 😆😆

Siyo kweli! Waliokaa muda mrefu ila kikombe, wakaona mtu pekee anayeweza kuwapa taji faster ni Mourinho! Kabla ya Mourinho UEFA walikuwa wanaishia raundi ya 16 bora kwenye hatua ya awali ya mtoano. Msimu wa kwanza Mourinho aliwapa kombe la mfalme, msimu wake wa pili ndiyo hakupata taji lolote.
 
Mwaka jana kachukua nao UEFA champions ligue,mwaka huu wamemtema,PEREZ anaangalia faida kila mwaka,haangalii kama nyuma ulileta mafanikio,yeye ni now na kesho

Presha za kipumbavu
ndo maana Morinho alishindwa
na yule kocha wa taifa wa Portugal pia alishindwa kabisa
na wote walitimuliwa huku wanatukanwa
 
Mkuu kumbuka huo mkwanja mkubwa hauji bila kuwa na mikakati mizuri ya kibiashara, na moja ya mikakati bora ni kuzalisha bidhaa bora kwenye industry uliyopo na bidhaa bora kwao ni matokeo mazuri ya ndani ya uwanja.
 
Hatujakuwa na matokeo mazuri uwanjani for ages na bado tumeitawala deloitte money league kwa miaka si chini ya 10. Tulikuwa na superstar coach Mourinho ambaye with him ni advantage kubwa kibiashara na kimchezo, alitimuliwa; now katimuliwa Carlo for the likes of Unai Emery, Benitez au Klopp ambao kawazidi kimafanikio na kwa mvuto kibiashara. Again, huna proof ya tuhuma unazotoa Chief.

HAKUNA ALIYEWAHI KUFUKUZWA MADRID KWA SABABU ZA KIBIASHARA .
 
acha masihara wewe, watu wanazama na mafuriko bado unawafananisha na timu tajiri duniani. Real madrid ikifanana na yanga wahi kanisani, ujue yesu ndio anarudi.
mkuu umenifurahisha sana nimecheka hadi watu nilio nao karibu wamebaki wananishangaa hadi naona noma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…