Mnyuke junior
Member
- Jun 1, 2021
- 19
- 15
Zizzou kaenda wapi?Kocha carlo ancelotti ameondoka EVERTON FC ya nchini uingereza na kujiunga na miamba ya soka ya nchini uhispania REAL MADRID mkataba umesainiwa mpaka mwaka 2024
Ni rahisi zaidi kupata mataji akiwa Real Madrid kuliko Everton na kwa status ya Carlo Ancelloti pesa gani ambayo hana ?Nimeshangaa kaacha mshahara wa million 11 Everton kaja Madrid Kwa mshahara wa milioni 6..
Nimeshangaa kaacha mshahara wa million 11 Everton kaja Madrid Kwa mshahara wa milioni 6..