Carlo Ancelotti kuwa kocha wa Real Madrid

tc_edo

Senior Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
123
Reaction score
98
Agents wa Carlo Ancelotti [emoji634] kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020).

SIO TETESI TENA : It's official Ancelotti amevunja mkataba na Everton na kujiunga na Real Madrid kwa mkataba wa miaka 3.

Agents wa Carlo Ancelotti [emoji634] kocha wa Everton wapo mbioni kuvunja mkataba na team hio ili Ancelotti ajiunge na mabingwa wa La Liga (2019/2020).

RASMI : REAL MADRID YAMTEUA CARLO ANCELOTTI KWA MARA YA PILI KUWA KOCHA WA REAL MADRID
 
Zidane alikosea sana kurudi Madrid,amevunja heshima aliyojitengenezea bahati haiji Mara 2.
 
Zidane alikosea sana kurudi Madrid,amevunja heshima aliyojitengenezea bahati haiji Mara 2.
Muongo!
Mbona Morinho alirudi Chelsea na bado akajenga tena heshima hadi kupelekea kuchukuliwa na Man United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…