Carogold ina madahara kwa mayai ya kutotolesha na kwa binadamu?

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
1,036
Reaction score
737
Habari wana jukwaa,

Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina madhara hasa kwa binadamu na mayai ya kutotolesha?
 
unacho tafuta ni nini? sikiliza ile yellow ni just colour tu haina kungine cha zaidi, Sasa baada ya watu kujua watymu wanakumbilia ile njano ndio hapo sasa maarifa ikaibuka, hicho unacho taja hakina madhara make ni aina fulani ya maua wanachuma .Pia hata wewe unaweza zalisha yellow pigemt zako kwa ajili ya kukishia kuku. Just google mimea yenye kiwango kikubwa cha Yellow Pigments.
 
[emoji120][emoji120]
 
Tumia binzari manjano wawekee kwa maji. Utanishukuru baadae.
 
Habari wana jukwaa,

Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina madhara hasa kwa binadamu na mayai ya kutotolesha?
Hakuna madhara yoyote mkuu.

Unafuga kuku wa aina gani?
 
Back
Top Bottom