MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
unacho tafuta ni nini? sikiliza ile yellow ni just colour tu haina kungine cha zaidi, Sasa baada ya watu kujua watymu wanakumbilia ile njano ndio hapo sasa maarifa ikaibuka, hicho unacho taja hakina madhara make ni aina fulani ya maua wanachuma .Pia hata wewe unaweza zalisha yellow pigemt zako kwa ajili ya kukishia kuku. Just google mimea yenye kiwango kikubwa cha Yellow Pigments.Habari wana jukwaa,
Kuku wangu wanataga mayai hayana kiini cha njano kabisa, hata niwape vitamini gani. Katika pita pita nikagundua hii carogold, natamani kuitumia lakini najiuliza je haina madhara hasa kwa binadamu na mayai ya kutotolesha?
[emoji120][emoji120]unacho tafuta ni nini? sikiliza ile yellow ni just colour tu haina kungine cha zaidi, Sasa baada ya watu kujua watymu wanakumbilia ile njano ndio hapo sasa maarifa ikaibuka, hicho unacho taja hakina madhara make ni aina fulani ya maua wanachuma .Pia hata wewe unaweza zalisha yellow pigemt zako kwa ajili ya kukishia kuku. Just google mimea yenye kiwango kikubwa cha Yellow Pigments.
Hakuna madhara yoyote mkuu.Habari wana jukwaa,