INAUZWA Carpet linauzwa

AfroCodes

Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
79
Reaction score
23
Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona.

Nahitaji 50 tu chap

Lipo kigamboni

0738 862 877

 
Ni saivi ya kujaza chumba, apo imekunjwa, conditions yake ni nzuri kama unavyoiona.

Nahitaji 50 tu chap

Lipo kigamboni

0738 862 877View attachment 2630886
Nakutakia biashara njema lakini tangazo hukulitendea haki.
Hivi kapeti ni mkunjo au rangi ambayo inaweza shawishi watu, umelipeleka kwenye wash pump machine?
Achana na kupigiwa simu kwanza
Mauzo mema
 
Naona kuna ua pink hapo katikati linavutia kwa macho...😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…