Carrymastory yasemekana ameachiwa kutoka mahabusu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,501
Reaction score
28,711
Msako wa video za @Menina ulikuwa ni mkubwa,

Mwijaku kawataja wadaku wote nchini alioshirikiana nao na waliohusika kuzisambaza

DJ Carry a.k.a @Carrycarry12 ni mmoja ya waliokamatwa, kwa siku mbili alizotoweka alikuwa mahabusu Obey.

Now jioni hii inasemekana kaachiwa kwa dhamana.
 
Maisha sio fair kabisa... amber rutty alipovujisha alikamatwa yeye na jamaa yake..lakini hii wanakamatwa wengine wakati mpuuzi mmoja aliyejirekodi yupo katulia
Amber rutty kashtakiwa kwa kufanya ngono kinyume na maumbile na ndio maana alipimwa kwa bomba kituo cha polisi..hajashtakiwa kwa kuvujisha video kwa kuwa sio yeye aliyevujisha
 
Binadam wote sio sawa...ukilijua hilo hautasumbuka
Maisha sio fair kabisa... amber rutty alipovujisha alikamatwa yeye na jamaa yake..lakini hii wanakamatwa wengine wakati mpuuzi mmoja aliyejirekodi yupo katulia
 
Haisaidii kitu..... Pumbv sana menina .... Kwanini alijirekodi.
 
Carry Mastory mzuri kumbe sema aongeze nyama kidogo.

Mwijaku alambe mvua za kutosha huko jela......Ila limetumika ku_spin Single ya Kujimwambafy.
 
Yatapita. Wote wataachiwa na hakuna hatua yoyote itakayochukuliwa
 
Ndio nani huyo mastory?
Yani huko daslamu mnafahamiana watu wote?
Mara nisikie mwijaku sijui menina yani hata sielewi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…