Sijafanya utafiti wa kina. Hata hivyo najua kuwa hakuna. Kama kingekuwepo TZ basi likely kingekuwa located DSM. Dar hakuna kitu kama hicho. Suala la Animation na Visual effects TZ ni duni. Niliwahi kuuliza swali kama lako lakini ikaonekana sehemu kubwa ya wana-JF hawana idea na mambo kama haya. Watu wa kenya wako advanced sana kuliko sisi katika fani hii. NB. Leo nimeona video ya mwanamuziki Juacali wa kenya yenye katuni muondoko 100%. Nice work!