CAS hakuna kesi ya Morison na Yanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.

CAS: HAKUNA KESI YA MORRISON NA YANGA

Klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Frederick Mwakalebela alisema kuwa wametumiwa barua na CAS wakitaarifiwa kuwa jaji wa kusikiliza shauri lao la kimkataba na Morrison amepatikana
:
Lakini kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Mahakama hiyo ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imethibitisha kuwa hakuna kesi yoyote kati ya Morrison na Yanga.
:
Hizi hapa kesi zote za CAS zitakazosikilizwa Feb 12 hadi Machi 1, kesi zote zilizopo CAS zitasikilizwa na hakuna kesi ya Morrison na Yanga
:
12.02.21
CAS 2020/A/7153 Olympique des Alpes v. Alexander Nasim Succar Note & Sporting Cristal
:
15.02.21
CAS 2020/A/7267 AE Larissa FC v. Gordon Petric & FIFA
:
16.02.21
CAS 2020/A/7414 Udinese Calcio S.p.A. v. FIFA
CAS 2020/A/7572 Ukrainian Association of Football v. UEFA & Swiss Football Association
:
17.02.21
CAS 2020/A/7183 Sofiene Moussa v. ACS Petrolul 52 Ploiesti & FIFA
CAS 2020/A/6962 César Payovich v. Difaa Hassani El Jadidi
TAS 2020/A/7292 Moghreb Athletic Tatouan c. Ouattara Bissiriki
:
19.02.21
CAS 2020/A/7281 Koninklijk Diegem Sport vzw v. Club Atletico de Madrid SAD and Dalian Professional F.C. Ltd
:
24.02.21
CAS 2020/A/7370 Antalyaspor A.Ş. v. Aatif Chahechouhe
CAS 2020/A/7151 Zhejiang Green Town Football Club v. Denilson Gabionetta
CAS 2020/A/7330 Navbahor Football Club v. Aleksey Belenkov
CAS 2019/A/6665 Ricardo Terra Teixeira v. FIFA
:
01.03.21
CAS 2020/A/7361 U Craiova 1948 S.A. v. Michael William Baird & Fédération Internationale de Football (“FIFA”) & Romanian Football Federation (“RFF”)
 
Mashabiki wa utopolo wengi ni mazombi.

Kwa mtu mwenye akili huwezi ona msingi wa kesi
 
Sasa matusi ya nini hivi kweli una akili kuwashinda mashabiki wote wa Yanga I cant believe
 
Cha kujiuliza usajili wa ndani wa wachezaji wa kigeni ni wachezaji 10 lakini utopolo wamesajili wachezaji 10 ukiongeza na Morison ni 11 wakati utopolo hawashiriki michuano ya kimataifa
 
We hao Utopolo utafikiri wana akili Kwani, ndio maana wanaitwa manyani.
We ulishawahi ona, hata kusikia mwana Utopolo anahoji kujua makubaliano yaliyopo kati ya GSM na Utopolo fc?
 
Viongozi wa Yanga naona mnazidiwa mbinu na viongozi wa Simba kwa mtindo huu ubingwa sahau ndio maana Hanspoppe wa simba akisema wao viongozi ndio wanasajili timu kwa kushirikiana na kocha lakini hasa viongozi ndio wanatafuta wachezaji tumeona wachezaji waliosajiliwa na Kaze asiachiwe kazi yote vinginevyo tusahau ubingwa mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…