Kwani hawara wa Mwamedi alisemaje
Kea hiyo dunia mzima Kuna kesi hizo tano tu CAS ? Upelekwe milembe wewe. Kuna uwezekano mkubwa tu kuwa Yanga haina kesi CA lakini kwa kuweka kesi tano hapo eti Ndio kesi zilizopo CAS basi nisikuseme Sana, jitafakari......
Off course wewe Ni nyani na huwezi kuacha kuwa nyani. Kea sababu nilichoandika hujaelewa unakurupuka Kama umeshikwa ugoni. RelaxxxAma kweli Nyani ni Nyani tu! Kutoka Feb 12 mpaka March 1 unajua ni siku ngapi?
Sasa kusikiliza kesi 5 ndani ya siku 20 unahisi haiwezekani? Acha kujitia aibu we Uto.
Sikufichi hapa umeandika upumbavuKea hiyo dunia mzima Kuna kesi hizo tano tu CAS ? Upelekwe milembe wewe. Kuna uwezekano mkubwa tu kuwa Yanga haina kesi CA lakini kwa kuweka kesi tano hapo eti Ndio kesi zilizopo CAS basi nisikuseme Sana, jitafakari......
Kama nu kweli,kwsi hakuna hawa viongozi wetu watatujibu nini?
CAS: HAKUNA KESI YA MORRISON NA YANGA
Klabu ya Yanga kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake, Frederick Mwakalebela alisema kuwa wametumiwa barua na CAS wakitaarifiwa kuwa jaji wa kusikiliza shauri lao la kimkataba na Morrison amepatikana
:
Lakini kwa mujibu wa tovuti rasmi ya Mahakama hiyo ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imethibitisha kuwa hakuna kesi yoyote kati ya Morrison na Yanga.
:
Hizi hapa kesi zote za CAS zitakazosikilizwa Feb 12 hadi Machi 1, kesi zote zilizopo CAS zitasikilizwa na hakuna kesi ya Morrison na Yanga
:
12.02.21
CAS 2020/A/7153 Olympique des Alpes v. Alexander Nasim Succar Note & Sporting Cristal
:
15.02.21
CAS 2020/A/7267 AE Larissa FC v. Gordon Petric & FIFA
:
16.02.21
CAS 2020/A/7414 Udinese Calcio S.p.A. v. FIFA
CAS 2020/A/7572 Ukrainian Association of Football v. UEFA & Swiss Football Association
:
17.02.21
CAS 2020/A/7183 Sofiene Moussa v. ACS Petrolul 52 Ploiesti & FIFA
CAS 2020/A/6962 César Payovich v. Difaa Hassani El Jadidi
TAS 2020/A/7292 Moghreb Athletic Tatouan c. Ouattara Bissiriki
:
19.02.21
CAS 2020/A/7281 Koninklijk Diegem Sport vzw v. Club Atletico de Madrid SAD and Dalian Professional F.C. Ltd
:
24.02.21
CAS 2020/A/7370 Antalyaspor A.Ş. v. Aatif Chahechouhe
CAS 2020/A/7151 Zhejiang Green Town Football Club v. Denilson Gabionetta
CAS 2020/A/7330 Navbahor Football Club v. Aleksey Belenkov
CAS 2019/A/6665 Ricardo Terra Teixeira v. FIFA
:
01.03.21
CAS 2020/A/7361 U Craiova 1948 S.A. v. Michael William Baird & Fédération Internationale de Football (“FIFA”) & Romanian Football Federation (“RFF”)
Kesi ya Yanga vs Amisi Tambwe ni ya lini? Maana sijaiona kwenye list

Hiyo kesi ilishatolewa maamuziKesi ya Yanga vs Amisi Tambwe ni ya lini? Maana sijaiona kwenye list
OkHiyo kesi ilishatolewa maamuzi
Mwakalebela anatoa machozi ya mamba!!! Utopolo wanadhani Mwakalebela ameumia Sana kumbe hamna kitu!! Ni staili yake ya kula na vipofu!!!!!Inaonekana ni kweli hawa jamaa hawajapeleka kesi CAS, sasa sijui kwa nini walikuwa wanawadanganya mashabiki wao
View attachment 1706258
Nenda kaongezee za kwako zifikie idadi unayotaka.Kea hiyo dunia mzima Kuna kesi hizo tano tu CAS ? Upelekwe milembe wewe. Kuna uwezekano mkubwa tu kuwa Yanga haina kesi CA lakini kwa kuweka kesi tano hapo eti Ndio kesi zilizopo CAS basi nisikuseme Sana, jitafakari......