CAS: Tutatoa uamuzi wa rufaa ya Senegal "haraka iwezekanavyo"

CAF inaongozwa na mazombie. Senegal ni washindi halali wa kombe la AFCON 2026.
 
mahakama ya mwisho ni CAS( Court of Arbitration for Sport) ambayo makao yake makuu yapo Uswisi.
Sijui ni nini unachopinga.
Kuna sehemu nimepinga au nimeongezea tu,kuwa hata CAS huwa wanapingwa na Mahakama za Uswiz,iliko hiyo CAS kwa utaratibu wao ,jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…