ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Russia ndiyo hivyo, Tumaini pekee lilikuwa Kwa Mchina. Na yeye Jana ndiyo hivyo. Kapigwa biti na MBABE na wote tumelishuhudia pambano live bila chenga.
Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni closed bingwa Kashajulikana.
Ubishi umeisha. Tukubali matokeo
Yale maneno ya XI (you will be met with fire) tulikuwa tunayasubiria Kwa hamu lakini ndiyo hivyo wote tumeona kilichotokea. Sasa case ni closed bingwa Kashajulikana.
Ubishi umeisha. Tukubali matokeo