Wanasheria naomba msaada wenu. Kesi ikishaamuliwa, na aliyeshindwa Kesi, alikiri kosa tangu mwanzo na hakukata rufaa.
1. Je, Kesi hiyo yaweza kufanyiwa review na mahakama ya juu zaidi ? Kwa kipengele lipi cha sheria?
2. Je, kuna ukomo wa muda baada ya hapo Kesi hiyo haiwezi kufanyiwa review?
3. Kesi gani yaweza kufanyiwa review?
Nitashukuru kwa msaada wenu