Case study: Waliosoma english medium ni "wazuri" kuliko waliosoma shule za kawaida

Ok, sawa.
Hata kama haukuvimaliza vitabu vya Chase vyote lakini it's marvelous katika level ya O-LEVEL, lakini ulisoma na vile vingine kibao ulivyoorodhesha, kwa wanafunzi wengi kusoma kitu ambacho ni nje ya vile vilivyoko kwenye Sylubus ni ngumu, mimi niliishia kusoma tu Things fall apart, The river between, songs of Lawino na vingine kwa ajili ya kujibia mitihani tu,
Of course kama mimi mazingira ya nyumbani hayakuwa condusive , wazee wangu ni wakulima kijijini kwa hiyo ukitoka shule unaambiwa ukachunge ng'ombe, ndani hamna kitabu wala nini.

Kwa hiyo sio kweli kwamba English medium ni bora, mimi nilisoma na wa English medium, lakini wote, like a coincidence A-LEVEL walikwama, and that was that.
 

Tuliomaliza 80s and early 90s ni sawa lakini hawa wa 2000+ ligha ni tatizo kubwa
 

Hii concept ya kwamba "english medium ni bora" ndiyo najaribu kuimulika zaidi, asante kwa mfano wako.

Ile pdf unaisoma lakini?
 
Jamaa kaongelea ufahamu wa watu wanafunzi hawa kulinganisha na shule za serikali maana kama mtu alisoma English medium haendi shule za kata na mara nyingi shule hizo zinafaulisha wanafunzi kwa kiwango cha juu. Kama unambeza kwa ilo sawa bila kuingiza hoja yako

 
Umeongelea Ujerumani, China Japan na kwingineko lakini wao kwa lugha yao wanaweza kutengeneza vitu vyao kwa lugha hiyo na kwa kusoma manual kwa lugha yao, wewe kiswahili kinatumika wapi katika technologia yetu? Linganisha vitu vinavyoendana. Mjerumani au mchina lugha yake kaikuza katika technologia mswahili lugha yake kaikuza kwenye nini?
 
Hii concept ya kwamba "english medium ni bora" ndiyo najaribu kuimulika zaidi, asante kwa mfano wako.

Ile pdf unaisoma lakini?

Kiranga...
Wewe si wa kawaida mkuu, there's a need to scrutinize your IQ, aint manifesting your superhumanity but your smartness upstairs...
Always snatching your notions mkuu...
Bado najifunza
 
Last edited by a moderator:
Tafsiri ya heading yako ni kwamba unawaongelea wale ambao tayari wamekwisha pita level ya primary, secondary and universities (hili linajionyesha pale ulipotaja uwezo wa kwenye interviews za kazi)Now, kuniaminisha juu ya case study yako, naomba unitajie watu muhimu kwenye inchi yetu ambao wamesoma english medium na siyo shule za kawaida
 
Kuna watu wanapiga kingereza acha bhana, huwezi amini kama ni mbongo I see, mpaka akiandika kisukuma ndio unaweza kuamini, ni noma sana.

mkuu kuna jamaa anaitwa Geza Ulole .this guy is awesome in english.so far sijaona mtu anayemfikia hapa jf.halafu jamaa yupo well up to date na international affairs. ukitaka kumfaidi tembelea international forum au kenya forums.rafiki zangu wakenya pamoja na kujifanya wanajua kizungu sana,geza ulole huwa anawapeleka puta mpaka kwenye forum zao.jf kuna vichwa vya kila aina.
 
Last edited by a moderator:
Hii concept ya kwamba "english medium ni bora" ndiyo najaribu kuimulika zaidi, asante kwa mfano wako.

Ile pdf unaisoma lakini?
Nashukuru sana ile pdf naisoma lakini sijaimaliza, inaendelea kunifungua macho.
Nkiimaliza nitakupa mrejesho.

Kama una soft copy na kitabu kingine kizuri ukipata muda nitumie, I want to start reading books now.
 
I think Geza Ulole is Kenyan!!, I am not astonished for a Kenyan to be good in English cause it is their National Language.
 
Kiranga...
Wewe si wa kawaida mkuu, there's a need to scrutinize your IQ, aint manifesting your superhumanity but your smartness upstairs...
Always snatching your notions mkuu...
Bado najifunza
Sure, nakuunga mkono, huyu jamaa huwa namshangaa, sio tu katika lugha fuatilia comments zake utaniambia.
 
I think Geza Ulole is Kenyan!!, I am not astonished for a Kenyan to be good in English cause it is their National Language.

not sure if he is a kenyan.let me ask him to come this way and let us hear it from the horses mouth.though i dont think if he will,the reason is i have never seen a geza's post in taz/local based forums. cc Geza Ulole.
 
Last edited by a moderator:
Muanzisha uzi amesema general conclusion,naona wewe unaongelea a few exceptions. Tukubali, English medium wana advantage.

Nipe statistics na ulikozitoa na methodolody iliyotumiwa kukufanya useme hivyo.

Halafu hujanisoma ama hujanielewa.

Watu wanaosoma English medium schools wana advantage, hili halijapingwa, ukinisoma utaona nimeandika, kama hujaona ama hujasoma au comprehension yako ndogo.

Swali langu halijajibiwa, advantage hii ni kiasi gani inatokana na shule na kiasi gani inatokana na mazingira ya nyumbani na kwingine nje ya shule?

Hujajibu swali nililouliza, na ulilojibu sijauliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…